# Alisukuma kwa nguvu zake "alitumia nguvu zake kusukuma nguzo" # Waliouawa "watu waliokufa" # walikuwa zaidi "idadi yao ilikuwa kubwa sana" # nyumba yote ya baba yake "familia yote ya baba yake" # Kisha ndugu zake na nyumba yote ya baba yake wakashuka "Walishuka" kwa sababu sehemu ambayo familia ya Samsoni walitoka ilikuwa juu ya Gaza. # Sora ... Eshtaoli Haya ni majina ya mahali. # mahali pa kuzikwa Manoa, baba yake "mahali alipozikwa Manoa baba yake" # Manoa Hili ni jina la mwanaume. # Samsoni alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini "Samsoni alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini kabla hajafa" # Miaka ishirini "miaka 20"