sw_tn/jdg/16/17.md

28 lines
414 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# alimwambia kila kitu
Alimwambia kila kitu juu ya asili ya nguvu zake.
# wembe
Hiki ni kifaa chenye makali kinachotumika kinyolea nywele.
# Mnaziri wa Mungu.
"alitolewa kwa Mungu kama Mnaziri"
# kutoka tumboni mwa mama yangu
"kabla sijazaliwa"
# Ikiwa kichwa changu kitanyolewa
"kama mtu atanyoa kichwa changu"
# Kunyoa
Ni kitendo cha kukata nywele.
# nguvu zangu zitaniacha
"sitakuwa na nguvu tena"