# alimwambia kila kitu Alimwambia kila kitu juu ya asili ya nguvu zake. # wembe Hiki ni kifaa chenye makali kinachotumika kinyolea nywele. # Mnaziri wa Mungu. "alitolewa kwa Mungu kama Mnaziri" # kutoka tumboni mwa mama yangu "kabla sijazaliwa" # Ikiwa kichwa changu kitanyolewa "kama mtu atanyoa kichwa changu" # Kunyoa Ni kitendo cha kukata nywele. # nguvu zangu zitaniacha "sitakuwa na nguvu tena"