sw_tn/jdg/16/10.md

20 lines
385 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ndivyo ulivyonidanganya mimi ... kuniambia uongo
"Umenidanganya"
# Unaweza kufungwa
"watu wanaweza kukushinda"
# Wafilisti wako juu yako
"Wafilisti wako hapa ili kukukamata"
# waliokuwa wakisubiri
"wakimsubiri ili kumshambulia"
# kama kilikuwa kipande cha uzi.
Mwandishi anaelezea ni kwa jinsi gani ilikuwa rahisi kwa Samsoni kuzikata kamba akifananisha na kipande cha uzi.