# Ndivyo ulivyonidanganya mimi ... kuniambia uongo "Umenidanganya" # Unaweza kufungwa "watu wanaweza kukushinda" # Wafilisti wako juu yako "Wafilisti wako hapa ili kukukamata" # waliokuwa wakisubiri "wakimsubiri ili kumshambulia" # kama kilikuwa kipande cha uzi. Mwandishi anaelezea ni kwa jinsi gani ilikuwa rahisi kwa Samsoni kuzikata kamba akifananisha na kipande cha uzi.