forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
418 B
Markdown
16 lines
418 B
Markdown
|
# akalala pamoja naye
|
||
|
|
||
|
"Akalala naye"
|
||
|
|
||
|
# Watu wa Gaza wakaambiwa
|
||
|
|
||
|
"Kuna mtu aliwaambia watu wa Gaza"
|
||
|
|
||
|
# Watu wa Gaza wakazunguka mahali hapo ... wakamngoja usiku wote katika lango la jiji
|
||
|
|
||
|
Hii inaonesha kuwa Wagaza walizunguka sehemu ambayo Samsoni alikuwepo na wengine wakasubiri katika lango la jiji ili asiondoke.
|
||
|
|
||
|
# Walikaa kimya usiku wote
|
||
|
|
||
|
"Hawakupiga kelele zozote usiku kucha" au "hawakutaka kumkamata usiku"
|