sw_tn/jdg/15/05.md

28 lines
404 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nafaka
Nafaka ambazo zinaendelea kukua katika shamba.
# Nafaka
Nafaka zilizokusanywa kabla hazijavunwa.
# Mashamba
Hii ni sehemu ambayo miti ya matunda inakua.
# Mtimna
Ni mtu anayetoka Timna.
# Mkwe wa Mtimna
"mkwe"
# alimchukua mke wa Samsoni akampa rafiki yake
"akamchukua mke wa Samsoni na kuruhusu aolewe na rafiki yake"
# Wakamchoma
Hii inaonesha kuwa mtu alichomwa moto mpaka kufa.