# Nafaka Nafaka ambazo zinaendelea kukua katika shamba. # Nafaka Nafaka zilizokusanywa kabla hazijavunwa. # Mashamba Hii ni sehemu ambayo miti ya matunda inakua. # Mtimna Ni mtu anayetoka Timna. # Mkwe wa Mtimna "mkwe" # alimchukua mke wa Samsoni akampa rafiki yake "akamchukua mke wa Samsoni na kuruhusu aolewe na rafiki yake" # Wakamchoma Hii inaonesha kuwa mtu alichomwa moto mpaka kufa.