forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
533 B
Markdown
20 lines
533 B
Markdown
|
# Siku ya saba
|
||
|
|
||
|
"siku ya 7"
|
||
|
|
||
|
# Watu wa mji
|
||
|
|
||
|
Hawa ni ndugu wa mke wa Samsoni.
|
||
|
|
||
|
# Ni nini kilicho bora zaidi kuliko asali? Ni kitu gani chenye nguvu kuliko simba?
|
||
|
|
||
|
Hili ndilo jibu la kitendawili. "asali ni tamu na simba ni mkali" au "asali ni tamu na imetoka kwa simba"
|
||
|
|
||
|
# Ikiwa hamkulima na ng'ombe wangu
|
||
|
|
||
|
Samsoni anafananisha kumtumia mke wake kupata jibu kama kutumia ng'ombe wa mtu kulima shamba lake. "Kama msingemtumia mke wangu"
|
||
|
|
||
|
# Kulima
|
||
|
|
||
|
Hiki ni kitendo cha kutumia mnyama kuvuta jembe kuandaa ardi kwa ajili ya kuweka mbegu.
|