sw_tn/jdg/14/15.md

24 lines
642 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# siku ya nne
"siku ya 4"
# mdanganye
Kumdanganya mtu afanye jambo ambalo hataki kufanya.
# Nyumba ya baba yako
Hii yaweza kuwa na maana ya 1) inamaanisha nyumba kabisa. 2)"nyumba" inamaanisha watu wanaoishi ndani yake.
# Tutachoma moto
"kuchoma moto" inamaanisha kukiteketeza kutu kwa moto. Kama mtu akichomwa moto inamaana mtu huyo ameteketea kwa moto mpaka kufa.
# Je, umetualika hapa ili kutufanya maskini?
Wanamuuliza swali hili kwa kumshataki kuwa amewaalika ili awafanye maskini. "umetuleta hapa ili kutufanya maskini"
# kutufanya maskini
Watakuwa masikini kama watamnunulia nguo mpya ikiwa watashindwa kutegua kitendawili.