# siku ya nne "siku ya 4" # mdanganye Kumdanganya mtu afanye jambo ambalo hataki kufanya. # Nyumba ya baba yako Hii yaweza kuwa na maana ya 1) inamaanisha nyumba kabisa. 2)"nyumba" inamaanisha watu wanaoishi ndani yake. # Tutachoma moto "kuchoma moto" inamaanisha kukiteketeza kutu kwa moto. Kama mtu akichomwa moto inamaana mtu huyo ameteketea kwa moto mpaka kufa. # Je, umetualika hapa ili kutufanya maskini? Wanamuuliza swali hili kwa kumshataki kuwa amewaalika ili awafanye maskini. "umetuleta hapa ili kutufanya maskini" # kutufanya maskini Watakuwa masikini kama watamnunulia nguo mpya ikiwa watashindwa kutegua kitendawili.