sw_tn/jdg/13/17.md

12 lines
246 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# maneno yako yatakapotimia
"maneno yako" haya ni maneno ambayo malaika aliyasema.
# Mbona unauliza jina langu?
Malaika anamuuliza swali kwa kumkemea. swali hili laweza kuwa "Hupaswi kuniuliza jina langu"
# Ni ajabu
"Ni ajabu kwako kuelewa"