sw_tn/jdg/12/05.md

32 lines
402 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa Efraimu
"katika nchi ya Efraimu"
# Wagileadi waliteketeza
"Wagileadi walitawala"
# Vivuko
Sehemu ambazo unaweza kupita kuvuka mto kwa miguu.
# Mwefraimu
"Mtu toka kabila la Efraimu"
# Shiboleth ... 'Sibboleth
Maneno haya hayana maana yoyote.
# kutamka
"sema"
# Elfu arobaini na mbili
"42,000"
# Waefraimu elfu arobaini na mbili waliuawa
"Waliwaua Waefraimu elfu arobaini na mbili"