sw_tn/jdg/11/34.md

24 lines
631 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ngoma
Hiki ni kifaa cha muziki kinachopigwa kwa kutumia vipande vya chuma.
# alirarua nguo zake
Hiki ni kitendo cha kuonesha kuomboleza au huzuni kubwa.
# Umenivunja kwa huzuni ... umekuwa mtu anayenisababishia maumivu yangu
"Yeftha anazungumza kitu kile kile kusistiza ni kwa kiasi gani aamehuzunika"
# Umenivunja kwa huzuni
Yeftha anaizungumzia huzuni yake kama vile kitu kilichovunjwa. "Umenisababishia huzuni kubwa"
# umekuwa mtu anayenisababishia maumivu yangu
Yeftha anazungumza juu ya shida aliyonayo akiifananisha na maumivu.
# siwezi kurudisha ahadi yangu.
Yeftha hawezi kuacha kufanya alichoahidi kukifanya.