# Ngoma Hiki ni kifaa cha muziki kinachopigwa kwa kutumia vipande vya chuma. # alirarua nguo zake Hiki ni kitendo cha kuonesha kuomboleza au huzuni kubwa. # Umenivunja kwa huzuni ... umekuwa mtu anayenisababishia maumivu yangu "Yeftha anazungumza kitu kile kile kusistiza ni kwa kiasi gani aamehuzunika" # Umenivunja kwa huzuni Yeftha anaizungumzia huzuni yake kama vile kitu kilichovunjwa. "Umenisababishia huzuni kubwa" # umekuwa mtu anayenisababishia maumivu yangu Yeftha anazungumza juu ya shida aliyonayo akiifananisha na maumivu. # siwezi kurudisha ahadi yangu. Yeftha hawezi kuacha kufanya alichoahidi kukifanya.