forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
879 B
Markdown
36 lines
879 B
Markdown
|
# Taarifa ya jumla:
|
||
|
|
||
|
Mjumbe wa Yeftha anaendelea kuzungumza.
|
||
|
|
||
|
# na sasa mnataka kuimiliki nchi yao?
|
||
|
|
||
|
"kwa hiyo hamtakiwi kuchukua umiliki wa nchi yao."
|
||
|
|
||
|
# Je, huwezi kuchukua nchi ambayo Kemoshi, mungu wako, anakupa?
|
||
|
|
||
|
Yeftha anamkemea mfalme wa Waamoni kwa kutumia swali. "mlipaswa kuchukua ardhi ambayo mungu wenu Kemoshi amewapa."
|
||
|
|
||
|
# kuchukua
|
||
|
|
||
|
"kumiliki" au "kutawala"
|
||
|
|
||
|
# Kemoshi
|
||
|
|
||
|
Hili ni jina la mungu wa uongo.
|
||
|
|
||
|
# Sasa wewe ni bora zaidi kuliko Balaki, mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu?
|
||
|
|
||
|
Yeftha anamkemea mfalme wa Waamoni kwa kutumia swali. "wewe sio bora kama Balaki mwana wa Sipori mfalme wa Moabu."
|
||
|
|
||
|
# Balaki ... Zipori
|
||
|
|
||
|
Haya ni majina ya wanaume.
|
||
|
|
||
|
# Je, alidai kuwa na hoja na Israeli?
|
||
|
|
||
|
Yeftha anamkemea mfalme wa Waamoni kwa kutumia swali.
|
||
|
|
||
|
# Je, yeye amewahi kupigana vita dhidi yao?
|
||
|
|
||
|
Yeftha anamkemea mfalme wa Waamoni kwa kutumia swali. "Hakupigana vita dhidi yao."
|