sw_tn/jdg/11/01.md

16 lines
247 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mgileadi
Huyu ni mtu anayetoka katika mji wa Gileadi.
# Wana wa mkewe walipokua
"Wana wa mke wa Gileadi walipokuwa wakubwa"
# nchi ya Tobu
Hili ni jina la mji.
# wakaja na kwenda pamoja naye.
"wakamfuata" au "walienda kila sehemu pamoja"