# Mgileadi Huyu ni mtu anayetoka katika mji wa Gileadi. # Wana wa mkewe walipokua "Wana wa mke wa Gileadi walipokuwa wakubwa" # nchi ya Tobu Hili ni jina la mji. # wakaja na kwenda pamoja naye. "wakamfuata" au "walienda kila sehemu pamoja"