sw_tn/jdg/09/41.md

28 lines
394 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Aruma
Hili ni jina la mji.
# Zebuli
Hili ni jina la mwanaume.
# Gaali
Hili ni jina la mwanaume.
# hii ikamfikia Abimeleki
"kuna mtu alimfikishia taarifa Abimeleki"
# akawagawanywa katika vitengo vitatu
"Akawatenganisha kati ka vitengo 3"
# wakaandaa uvamizi mashambani
"Walijificha mashambana na kuwavamia watu ghafla.
# Akawakamata
Huyu ni Abimeleki anayewakilisha askari wake.