# Aruma Hili ni jina la mji. # Zebuli Hili ni jina la mwanaume. # Gaali Hili ni jina la mwanaume. # hii ikamfikia Abimeleki "kuna mtu alimfikishia taarifa Abimeleki" # akawagawanywa katika vitengo vitatu "Akawatenganisha kati ka vitengo 3" # wakaandaa uvamizi mashambani "Walijificha mashambana na kuwavamia watu ghafla. # Akawakamata Huyu ni Abimeleki anayewakilisha askari wake.