sw_tn/jdg/09/30.md

28 lines
458 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Zebuli
Hili ni jina la mwanaume.
# aliposikia maneno ya Gaali, mwana wa Ebedi
"maneno" inawakilisha kile alichokisema.
# Gaali ... Ebedi
Haya ni majina ya wanaume.
# hasira yake ikawaka
Kitendo cha kuwa na hasira kinafananishwa na moto unaoanza kuwaka.
# ili wapate kudanganya
Zebuli anamdanganya Gaali na watu wa Shekemu.
# nao wanauchochea mji dhidi yako
"wanawashawishi watu wa mji waasi dhidi yako"
# mji
"mji" inawakilisha watu wa mjini.