sw_tn/jdg/09/12.md

20 lines
530 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Yotamu anaendelea kuelezea fumbo ambapo miti inawakilisha makundi mbalimbali ya watu.
# Mti ukasema
Mti unafananishwa na mtu anayeweza kusikia na kuongea.
# Mzabibu
Mzabibu unafananishwa na mtu anayeweza kusikia na kuongea.
# Je, nitaacha divai yangu mpya ... juu ya miti mingine?
Mzabibu unauliza swali la kukataa kuwa na huruma. "Sitaacha divai yangu mpya ... juu ya miti mingine."
# Mti wa miiba
Hii ni miida ambayo ina ncha kali sana inayoumiza. kichaka hiki kina miiba mingi katika matawi yake.