# Taarifa ya jumla: Yotamu anaendelea kuelezea fumbo ambapo miti inawakilisha makundi mbalimbali ya watu. # Mti ukasema Mti unafananishwa na mtu anayeweza kusikia na kuongea. # Mzabibu Mzabibu unafananishwa na mtu anayeweza kusikia na kuongea. # Je, nitaacha divai yangu mpya ... juu ya miti mingine? Mzabibu unauliza swali la kukataa kuwa na huruma. "Sitaacha divai yangu mpya ... juu ya miti mingine." # Mti wa miiba Hii ni miida ambayo ina ncha kali sana inayoumiza. kichaka hiki kina miiba mingi katika matawi yake.