sw_tn/jdg/09/03.md

28 lines
532 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ndugu za mama yake waliongea kwa niaba yake kwa viongozi
Hii ina maana ya kwamba ndugu za mama yake Abimeleki walizungumza na viongozi, wakapendekeza wamfanye Abimeleki kuwa mfalme.
# wakakubali kumfuata Abimeleki
"wakakubali Abimeleki awe kiongozi wao"
# Nyumba
"nyumba" inawakilisha hekalu.
# vipande sabini vya fedha
Hii inamaanisha shekeli. Shekeli ina uzito wa gramu 11. "karibia kilo moja ya fedha"
# Sabini
"70"
# Baali Berith
Hili ni jina la mungu wa uongo.
# wasio na sheria na wajinga
"wakorofi na wajinga"