forked from WA-Catalog/sw_tn
44 lines
1.1 KiB
Markdown
44 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# Gideoni akafanya efodi kutoka katika pete
|
||
|
|
||
|
"Gideoni alitumia dhahabu toka kwenye pete na kutengeneza efodi"
|
||
|
|
||
|
# Ofra
|
||
|
|
||
|
Hili ni jina la mji.
|
||
|
|
||
|
# Israeli wote wakaiandama kwa ukahaba na kuabudu
|
||
|
|
||
|
Kuabudu miungu ya uongo inafananishwa na ukahaba. "Waisraeli walimtenda Bwana dhambi kwa kuabudu efodi"
|
||
|
|
||
|
# Waisraeli wote
|
||
|
|
||
|
Hii ni namna ya kusisitiza kuonesha kuwa idadi kubwa ya Waisraei waliabudu miugu.
|
||
|
|
||
|
# Ilikuwa mtego kwa Gideoni na kwa wale walio nyumbani kwake.
|
||
|
|
||
|
Kuiabudu efodi inaelezwa kuwa ilikuwa mtego kwao. "ilikuwa jaribu kwa Gideoni na familia yake" au "Gideoni na familia yake walitenda dhambi kwa kuiabudu"
|
||
|
|
||
|
# kwa wale walio nyumbani kwake
|
||
|
|
||
|
"nyumbani kwake" inawakilisha familia ya Gideoni.
|
||
|
|
||
|
# Kwa hiyo Midiani ilishindwa mbele ya watu wa Israeli
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuanza kama "Kwa hiyo Bwana akawafanya Wamidiani kushindwa mbele ya watu wa Israeli" au "kwa hiyo Bwana akawasaidia Waisraeli kuwashinda Wamidiani"
|
||
|
|
||
|
# hawakuinua vichwa vyao tena
|
||
|
|
||
|
"Hawakuwavamia Waisraeli tena"
|
||
|
|
||
|
# Na nchi ikawa na amani
|
||
|
|
||
|
"nchi" inawakilisha wana wa Israeli. "Na Waisraeli walikaa kwa amani"
|
||
|
|
||
|
# Miaka arobaini
|
||
|
|
||
|
"miaka 40"
|
||
|
|
||
|
# Siku za Gideoni
|
||
|
|
||
|
"siku" inamanisha kipindi cha uhai wake.
|