sw_tn/jdg/07/02.md

44 lines
771 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa mimi kukupa ushindi juu ya Wamidiani
"kwa mimi kukuruhusu wewe uwashinde wa Midiani"
# Nguvu zetu zimetuokoa
"nguvu" inawakilisha watu wenyewe. "Tumejiokoa wenyewe bila msaada wa Mungu"
# Sasa
Hii haimaanishi "wakati huu" bali inatengeneza usikivu wa jambo muhimu linalofuata.
# tangaza masikioni mwa watu
Neno "masikio" hapa linamaanisha mtu mwenyewe. "watangazie watu"
# Yeyote anayeogopa, anayetetemeka
Maneno haya yote yana maana sawa.
# Kutetemeka
neno hili linaelezea namna ambavyo hofu inaweza kusababisha mtu akatetemeka.
# Muache arudi
"muache arejee nyumbani kwake"
# Mlima Gileadi
Hili ni jina la mliama uliopo katika mji wa Gileadi.
# Elfu ishirini na mbili
"22,000"
# Elfu kumi wakabaki
"watu 10,000 wakabaki"
# Elfu kumi
"10,000"