# kwa mimi kukupa ushindi juu ya Wamidiani "kwa mimi kukuruhusu wewe uwashinde wa Midiani" # Nguvu zetu zimetuokoa "nguvu" inawakilisha watu wenyewe. "Tumejiokoa wenyewe bila msaada wa Mungu" # Sasa Hii haimaanishi "wakati huu" bali inatengeneza usikivu wa jambo muhimu linalofuata. # tangaza masikioni mwa watu Neno "masikio" hapa linamaanisha mtu mwenyewe. "watangazie watu" # Yeyote anayeogopa, anayetetemeka Maneno haya yote yana maana sawa. # Kutetemeka neno hili linaelezea namna ambavyo hofu inaweza kusababisha mtu akatetemeka. # Muache arudi "muache arejee nyumbani kwake" # Mlima Gileadi Hili ni jina la mliama uliopo katika mji wa Gileadi. # Elfu ishirini na mbili "22,000" # Elfu kumi wakabaki "watu 10,000 wakabaki" # Elfu kumi "10,000"