sw_tn/jdg/06/07.md

16 lines
296 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# walipomwomba Bwana
"wakamwomba Bwana msaada"
# Kwa sababu ya Midiani.
"Midiani" inawakilisha watu wa Midiani.
# Nimekuleta kutoka Misri
"Nimekuongoza kutoka Misri"
# Nyumba ya utumwa
Musa anaizungumzia Misri kama nyumba ambayo watu waliwahifadhi watumwa. "sehemu ambayo mlikuwa watumwa"