sw_tn/jdg/05/28.md

12 lines
406 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kamba
Huu ni mwonekano wa dirisha lililotengenezwa kwa mbao.
# Kwa nini gari lake limechelewa kuja? Kwa nini viboko vya farasi vinavyovuta magari yake vimechelewa
Maswali haya yote yanamaana moja. "Kwa nini imemchukua Sisera mda mrefu kurudi nyumbani?"
# gari lake limechukua ... nini viboko vya farasi vinavyovuta magari yake
Hivi vyote vinamuwakilisha Sisera. "Kumchukua Sisera ... kwa nini yeye"