# kamba Huu ni mwonekano wa dirisha lililotengenezwa kwa mbao. # Kwa nini gari lake limechelewa kuja? Kwa nini viboko vya farasi vinavyovuta magari yake vimechelewa Maswali haya yote yanamaana moja. "Kwa nini imemchukua Sisera mda mrefu kurudi nyumbani?" # gari lake limechukua ... nini viboko vya farasi vinavyovuta magari yake Hivi vyote vinamuwakilisha Sisera. "Kumchukua Sisera ... kwa nini yeye"