sw_tn/jdg/05/09.md

12 lines
404 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Moyo wangu unawaendea wakuu wa Israeli
"moyo" unawakilisha hisia za mtu. Debora anatoa shukrani kwa wakuu wa Israeli.
# ninyi ambao hupanda punda weupe ... nanyi mnaotembea njiani.
Maelezo haya yanawaelezea matajiri na masikini, zote hizi zimetumika ili kumuelezea kila mtu.
# mmeketi kwenye mazulia
Mazulia yalitumika kuweka kwenye mgongo wa punda ili kumfanya mtumiaji wa punda kuwa huru zaidi.