# Moyo wangu unawaendea wakuu wa Israeli "moyo" unawakilisha hisia za mtu. Debora anatoa shukrani kwa wakuu wa Israeli. # ninyi ambao hupanda punda weupe ... nanyi mnaotembea njiani. Maelezo haya yanawaelezea matajiri na masikini, zote hizi zimetumika ili kumuelezea kila mtu. # mmeketi kwenye mazulia Mazulia yalitumika kuweka kwenye mgongo wa punda ili kumfanya mtumiaji wa punda kuwa huru zaidi.