sw_tn/jdg/03/16.md

16 lines
377 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# dhiraa moja
Kama kuna ulazima wa kutumia njia za kisasa za kupima urefu, kuna njia mbili za kufanya hivyo. "urefu sentimeta 46" au "urefu zaidi ya mita moja na nusu"
# aliufunga chini ya nguo zake juu ya mguu wake wa kulia
"aliufunga kwenye mguu wake wa kulia chini ya nguo"
# mguu
"paja"
# Egloni alikuwa mtu mnene sana
Hapa msimuliaji anatupa taarifa juu ya Elgoni.