# dhiraa moja Kama kuna ulazima wa kutumia njia za kisasa za kupima urefu, kuna njia mbili za kufanya hivyo. "urefu sentimeta 46" au "urefu zaidi ya mita moja na nusu" # aliufunga chini ya nguo zake juu ya mguu wake wa kulia "aliufunga kwenye mguu wake wa kulia chini ya nguo" # mguu "paja" # Egloni alikuwa mtu mnene sana Hapa msimuliaji anatupa taarifa juu ya Elgoni.