sw_tn/jdg/02/20.md

32 lines
814 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hasira ya Bwana iliwaka juu ya Israeli
Hasira ya Bwana inaelezewa kama moto uwakao.
# Taifa hili limevunjika
"taifa" inawakilisha watu. "watu hawa wamevunjika" au "Waisraeli wamevunjika"
# Baba
Hapa inamaanisha mababu wa mtu fulani au wa kundi fulani la watu.
# Hawakuisikiliza sauti yangu
"sauti" inawakilisha yale aliyosema Bwana. "hawajatii niliyowaamuru" au "hawajanitii mimi"
# Taifa lolote
"taifa" inawakilisha kundi la watu walioishi Kanaani kabla ya Waisraeli.
# Watashika njia ya Bwana na kuifuata
Namna ambavyo Bwana anataka watu waishi inafananishwa kama vile wapo njiani. Watu kumtii Bwana ni sawa na kutembea katika njia zake.
# Hakumruhusu Yoshua kuwashinda
"hakumuacha Yoshua kuwashinda"
# Hakumruhusu Yoshua
Hapa "Yoshua" anawakilisha jeshi lake. Hakumruhusu Yoshua na jeshi lake.