sw_tn/jdg/02/09.md

28 lines
610 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Aliyopewa
"Ambayo Mungu alimpa"
# Timnath Heresi
Hili ni jina la eneo.
# Mlima Gaash
Hili ni jina la mlima
# Kizazi hicho chote kilikusanyika kwa baba zao
Sentensi "kilikusanyika kwa baba zao" ina maanisha kwamba watu wa kizazi kile walikufa, nafsi zao zikaenda sehemu ile ile ambayo mababu zao waliokufa kwanza walienda. Ni namna nzuri ya kusema walikufa.
# Baba
Hapa ina maanisha mababu wa mtu au kikundi fulani cha watu.
# Kukua
"kuongezeka umri" au "kuwa mzee"
# Ambao hawakumjua Bwana
"hawakumjua" ina maanisha hawakumtambua Bwana au nguvu zake kama ambavyo kizazi kilichopita kilimtambua.