sw_tn/jdg/01/27.md

16 lines
417 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bethsheani ...Taanaki ... Dori ... Ibleamu ... Megido
Haya ni majina ya miji
# kwa sababu Wakanaani walikuwa wameamua kuishi katika nchi hiyo
"kwa sababu Wkanaani waliamua kwa dhati kuwa hawataiacha hiyo nchi"
# Israeli ipokuwa na nguvu
"Israeli" inamaanisha watu. "Watu wa Israeli walipokuwa na nguvu"
# waliwalazimisha Wakanaani wawatumikie kwa kazi ngumu
"Waliwalazimisha wakaanani wawafanyie kazi ngumu"