sw_tn/jdg/01/25.md

20 lines
342 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Waliuteka mji
"mji" inamaanisha watu. " Waliwateka watu wa mji"
# kwa makali ya upanga
Hapa "Upanga" inamaanisha upanga au silaha nyingine inayotumiwa na askari vitani. "na upanga wao" au "na silaha zao"
# Waondoke
"toroka"
# Luzu
Mji huu mpya ulianza katika nchi ya Wahiti.
# ambalo jina lake hata leo.
"ambalo bado ni jina lake.