# Waliuteka mji "mji" inamaanisha watu. " Waliwateka watu wa mji" # kwa makali ya upanga Hapa "Upanga" inamaanisha upanga au silaha nyingine inayotumiwa na askari vitani. "na upanga wao" au "na silaha zao" # Waondoke "toroka" # Luzu Mji huu mpya ulianza katika nchi ya Wahiti. # ambalo jina lake hata leo. "ambalo bado ni jina lake.