sw_tn/isa/66/03.md

12 lines
317 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahwe anaendelea kuzungumza.
Yahwe anaendelea kuzungumza.
# Yule anayechinja ... pia hubariki uovu
Vishazi hivi vnne vyote vinafafanua njia tofauti watu waovu wanavyofanya na kufikia maana moja kwa ajili ya msisitizo.
# Wamechagua njia zao wenyewe
"Wamechagua kufanya mambo maovu ambayo hukiuka njia za Yahwe"