# Yahwe anaendelea kuzungumza. Yahwe anaendelea kuzungumza. # Yule anayechinja ... pia hubariki uovu Vishazi hivi vnne vyote vinafafanua njia tofauti watu waovu wanavyofanya na kufikia maana moja kwa ajili ya msisitizo. # Wamechagua njia zao wenyewe "Wamechagua kufanya mambo maovu ambayo hukiuka njia za Yahwe"