sw_tn/isa/65/20.md

16 lines
346 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza juu ya watu wake waaminifu.
# miaka mia moja
"miaka 100"
# atachukuliwa kuwa mtu kijana
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "watu watamchukulia kuwa mtu kijana"
# atachukuliwa kuwa amelaaniwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "watu watamchukulia mtu huyu kuwa amelaaniwa"