sw_tn/isa/64/10.md

16 lines
646 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Watu wa Israeli wanaendelea kuzungumza na Yahwe.
# Miji yako mitakatifu imekuwa nyika
Hii inasisitiza ya kwamba miji imeangamizwa na hakuna aishiye kule.
# Hekalu letu takatifu na zuri, ambapo baba zetu walikusifu, limeangamizwa kwa moto
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Adui ameangamiza hekalu letu takatifu na zuri, pale ambapo baba zetu walikusifu, kwa moto"
# Unawezaje kujizuia, Yahwe? Unawezaje kukaa kimya na kuendelea kutudhalilisha?
Wanatumia maswali kuelezea kukata tamaa kwao kwa sababu Mungu bado hajaja kuwasaidia. "Tafadhali usijizuie, Yahwe! Tafadhali usikae kimya na kuendelea kutuaibisha!"