sw_tn/isa/63/11.md

12 lines
412 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Walisema
"tulisema". Hapa "walisema" ina maana ya watu wa Israeli. Isaya anajijumlisha kama mwanajumuiya wa watu.
# ambaye aliwatoa kutoka katika baharii
Simulizi ya Yahwe kugawanya maji ya Bahari ya Matete kimiujiza ili kwamba Waisraeli waweze kuvuka na kuwatoroka Wamisri ni taarifa inayosadikiwa.
# wchungaji wa kundi lake
Viongozi mara nyingine wanajulikana kama "wachungaji". "viongozi wa watu wake"