# Walisema "tulisema". Hapa "walisema" ina maana ya watu wa Israeli. Isaya anajijumlisha kama mwanajumuiya wa watu. # ambaye aliwatoa kutoka katika baharii Simulizi ya Yahwe kugawanya maji ya Bahari ya Matete kimiujiza ili kwamba Waisraeli waweze kuvuka na kuwatoroka Wamisri ni taarifa inayosadikiwa. # wchungaji wa kundi lake Viongozi mara nyingine wanajulikana kama "wachungaji". "viongozi wa watu wake"