sw_tn/isa/59/07.md

20 lines
609 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Isaya anaendelea kzungumza na watu wa Israeli.
# Miguu yao hukimbilia uovu
"Miguu" inawakilisha uwezo wa kuondoka na "kukimbia" ina maana ya kufanya jambo kwa haraka. "Wana haraka ya kufanya mambo maovu"
# ni njia zao
"njia" inawakilisha njia yao ya maisha. "ni yote wanayofanya"
# hakuna haki katika njia zao
"njia" inawakilisha njia yao ya maisha. "kamwe hawafanyi kilicho haki" au "kila kitu wafanyacho sio cha haki"
# Wametengeneza njia zilizopinda
"Njia zilizopinda" inawakilisha njia ya maisha ambayo imepotoka. "Wanasema na kufanya mambo yasiyo ya kweli. Ni wajanjawajanja"