sw_tn/isa/57/16.md

12 lines
378 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Nimeficha uso wangu
Hii ina maana ya Mungu alikata tamaa kwa watu wake na hakuwasaidia au kuwabariki.
# alikwenda kwa nyuma katika njia ya moyo wake
Hii ina maana ya Waisraeli waliendelea kumkataa Mungu wa kwelii kwa wa uongo. Hapa "nyuma" na "njia" ni maneno ya mahali yanayowakilisha motisha na hisia.