sw_tn/isa/57/09.md

12 lines
433 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza kwa watu wasio waaminifu wa Israeli.
# ulishuka chini Kuzimu
Watu hawakwenda kuzimu kihalisia, dunia ya wafu. Badala yake, Yahwe anaonyesha ya kwamba watu walikuwa tayari kwenda popote kutafuta miungu wapya wa kuabudu.
# Ulipata maisha mikononi mwako
Baada ya kujaribu sana, waabudu sanamu waligundua kuwa bado wana nguvu ya kuendelea. Hapa "mkono" una maana ya "nguvu" au "uwezo"