# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza kwa watu wasio waaminifu wa Israeli. # ulishuka chini Kuzimu Watu hawakwenda kuzimu kihalisia, dunia ya wafu. Badala yake, Yahwe anaonyesha ya kwamba watu walikuwa tayari kwenda popote kutafuta miungu wapya wa kuabudu. # Ulipata maisha mikononi mwako Baada ya kujaribu sana, waabudu sanamu waligundua kuwa bado wana nguvu ya kuendelea. Hapa "mkono" una maana ya "nguvu" au "uwezo"