sw_tn/isa/57/05.md

8 lines
307 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wasio waaminifu wa Israeli.
# Mnajipatia joto wenyewe ... chini ya mawe yalitokeza
Matendo haya yote yanahusishwa na kuabudu sanamu. Mialoni ilikuwa miti mitakatifu kwa Wakaanani. Watu walidhani matendo haya yangeongeza rutuba kwa watu na kwa nchi.